LYRICS
CHORUS
Niamke Che ka Guevara (ai)
Mohammed Early bird (ai)
Ni kusifu GOD na ma nyonde (ai)
Thi thi this, thi thi this, feeling iko (high) *3
VERSE 1
Rengwa, join nyonde tuki budua,
Waki zuzuba zuzuba
Tuki gutuka, pale huruma, kasabun, kariadudu ahh
Dudu dudu ahh,
Narusha dua, dudu dudu ahh,
Ka ungam acha vitimbi izi ni chimbi,
Bramba pesa shilingi izo ndio nini,
BABA sifa ni nyingi from the beginning,
Out loud so na keep it real YESU ndio biggy.
Na give thanks rengwa,
Nisha pendwa,
Kata watu chobo ngoto che rengwa,
Blessings Ruto zisha tengwa,
Mtoi wa King of kings sijailengwa,
Me uwanga mkali ndio unipunguze itabidi ucome na ki chaser,
Umwa na simba wa Yuda na mimi ukicheza,
Uwanga very nyonde uwanga kukuruku uwanga very bird
CHORUS
Ai
Niamke che ka Guevara (ai)
Mohamed Early bird (ai)
Nikusifu GOD na ma nyonde (ai)
Thi thi this, thi thi this feeling iko (high) *3
VERSE 2
Shetani hata uwe kipofu watch your tongue when you are talking to me,
Me si maskini stockings to me,
Ati wako bafu chafu vaa stockings to meet,
BABA ame andaa meza usiniambie moshogi ni meat,
Skia skia skia skia,
So kimangoto na ngadu tu ma dingdong,
Shashola mavela zi zime dim jo,
Kwa Yesu niko ndani nika dimples,
Am the homie you know omy dimpoz ,
Naingiza ma sekter,
Letaga ma better,
Mungu ndio sender,
Alituma Peter,
Dhambi me utoka mbio we niite Keter,
Yesu mbele daily me ni winner,
Kwa Yesu ni cool utadhani huku winter,
Sunday school na rudia repeater repeater
CHORUS
Ai
Niamke che ka Guevara (ai)
Mohamed early bird (ai)
Nikusifu GOD na ma nyonde (ai)
Thi thi this, thi thi this feeling iko high *3