#KituSewer x #Maovete are forever grateful for each person that has shown love. Continue sharing #Kiswahealing with your friends and family
00:00 Intro
01:41 Kun Faya Kun Kitu Sewer & Maovete
Nilienda far sana na mi mbali sana
Nastahili kujipea visit (mbali sana)
Enda mbali sana na mi (mbali sana)
One
(Kitu Sewer)
Nilienda far sana nikapoteza network ya God
Kumbe anataka tuwe sote body mind and soul
Nhakuna shortcut ni two way ndani ya hii baro
Itabidi u pay attention ata kama si doh
Nilidhani ni hallucination ni kama nachizi Joh
Kumbe ni echo zangu zina bounce kwa wall
Kuna msee ana nicheki kumbe ni mimi kwa kioo
Siri ni yetu wa tatu ni wa ku poison sinia
Hakuna kitu valuable ka kimya kwa hii dunia
Break worth of silence na zile kelele na make
Sacrifice kila kitu iyo ni kama kitu nitamake
Nitoke iyo side ingine ya iyo shimo unless
Sitaki ivo lazima kuna ma demons lazima nita face
Hakuna elimu hukuja bila ya kufanya mistake
Nikaamua nikijipata nitaji GPRS
Ndo nijipate kabla uovu za Dunia zini arrest
Kun faya Kun, kun faya Kun kun faya kun faya faya kun
(Maovete)
Niskize vizuri mimi ni brain kwa akili yako
Mimi ndo memory za utotoni mako
Cheki Life yako ina revolve around nini
Know thyself we jijue jiamini
Haihitaji psychologist au ku seek medical advice
Devise plan ya personal fulfillment na ui actualize
Parallel universe haina limitation it’s all in the mind
Furaha amani upendo Manifest self image divine
Nilienda far sana na mi mbali sana
Nastahili kujipea visit (mbali sana)
Enda mbali sana na mi (mbali sana)
(Kitu Sewer)
Huskii uyu psychologist anenifanyisha P.E.
Ati niangalie sura yangu kwa mkojo nime pee
Fashion ya me si me
Teacher ali uliza “what do you wanna be?”
Kukuwa msoo ni kagundua zote doctor
Na lawyer na scientist ni ma wanna be,
Sio bure wali ni separate na me Sa najitafuta sa najitafuta
Walinishow me, ako six feet Deep, wakamreplace na madawa na steam,
As a means ya kuget back iyo self esteem,
Wakanishow me wa ukweli ni myth na superstition
Wakashow ma siz wa me wa bleach wapige surgery
Za hips na tits na ma bro wapige matembe za gym
(Hook and outro)
Kun faya Kun, kun faya Kun kun faya kun faya faya kun
Nilienda far sana na mi mbali sana
Nastahili kujipea visit (mbali sana)
Enda mbali sana na mi (mbali sana)
05:22 Utakwenda Wapi? Ft. Jayhilz
08:55 Endelezi Ft. Roba #Kalamashaka
12:22 Committee ya Maovete Ft. Jayhilz
16:32 Drunken Master (Barua)
20:56 Interlude
21:24 Pandemic Remix Ft. Roba #Kalamashaka
26:34 Weh Ongea
30:18 Haina Makelele
33:24 Cheki Namba
35:23 Nayo Nayo
39:10 Outro
40:52 Pandemic, Pt.2 – You’re not Alone Ft. Blackskillz
Recording Studio: SIEPNA INC #SiepnaInc
Producer/ Sound Engineer: Gitonga Mukira
Executive Producer: I. M. Brima
Composer/ Music Director: Gitonga Mukira
Brand Manager: Nimo Wairimu
Artwork Director: I. M. Brima
Graphics Editor: Roba (Taji Filmz)
Intro & Outro Narrator: I. M. Brima
Kiswahealing (Full Album) is also available on all streaming platforms: https://ffm.to/kiswahealing
#musicstreaming #spotify #youtube #music #youtubemusic #applemusic #itunes #deezer #amazonmusic #tidal #newmusic #goodmusic #hiphop #rap #rapmusic #realrapmusic #remix #spotifyplaylist #musiclove #musicislife #musicismylife #musicianlife #cultureactivism #hiphopculture #hiphoplyrics #consciousmusic #life #hiphop #unsignedartist #hiphopartist #artivism #mediaactivism #musicforsocialchange #globalmindchanger #voices4change #nowplaying #radio #hiphopheads #hiphoplife #hiphopmusic #hiphopcommunity #hiphopnation #kenya #PlayKE #nairobi #africa
FOLLOW ON:
For invites of our participation at in-person events/ online gigs or to commission our next project, kindly connect with us via email: maovete@gmail.com Subscribe for more music.
https://www.boomplay.com/albums/24979970
https://music.apple.com/ke/album/kiswahealing/1552604266
https://www.deezer.com/us/album/205896422