Inua Mitaa Visimpo (Freshi Barida). Kesho twende tuinue mtaa na chochote unacho tutende utu kwa wenzetu nataka watu kama Mia mbili twende pamoja kibera iwe sukari iwe Unga iwe sabuni iwe maombi bado Sawa mtaa Pia ikue freshi barida @inuafestival @mibafrica
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT
Was this article helpful?
YesNo